Miriam Makeba — Malaika Live

[Intro] We'd now like to take you to Tanzania [Verse] Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Ningekuoa mali we, ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Pesa zasumbua roho yangu Pesa zasumbua roho yangu Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we WoO. Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we WoO. Ningekuoa Malaika Ningekuoa Malaika Ningekuoa Malaika


Other Miriam Makeba songs:
all Miriam Makeba songs all songs from 2021