Various Artists — In Step

Swahili language Verse 1 lilywhite Tusipende za kimwili Tumfuate mungu tu Natusome bibilia Tujijenge roho juu Natembea by the spirit Sifuati ya dunia Na kwa yesu tu pekee ndio me naaminia Amenibariki ndio maana nashuhudia na Amenipa neno ndio maana nahubiria Wa kubwa Kwa wadogo Waweze kuniskia Sauti yangu napaza Injili nasambaza Najua me ni mdogo but nimetoka far Majaribu ni kabao but me nayakataa Nakemea roho zote zilizo nipiga ngeta Niko free from my past niko beta Chorus A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice Verse2 lilywhite Binadamu hawezi ishi kwa mkate pekee Huyo ni yesu jangwani shetani alimjaribu Kama kristo simama imara na neno Ya dunia ni maneno tu Ushai skia Bad company spoils good morals Ka ni hivo heri me nistay solo Wase bibilia ndio me hufollow Team yangu huwa ya wale wasee wapole Ai si tunakataa Life finje finje bro si tumekataa Life usherati? Bro situmekataa Nimeoshwa kwa damu nikabatizwa kwa moto okay Chorus A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice Verse (TCJ Muzik) Yes inanice kutembea njia narrow mahali hakuna jam man Yes inanice kuimagine Baba akinisho well done child karibu home Ju time nilikua Rome sikuconform siku roam Sikufollow form za kufit in (Outcast) Form ni kumurder flesh walking dead Usiwalk na sight Spirit led Turn it up turn it up turn it up Pursue peace na wote na uombee adui fam Make love not war weh si pharisee ama sadducee We ni royalty Chorus A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice Verse Jafari Walk with the spirit not the flesh  I believe in the name not the face I breath with my lung not my chest I kipchopchoge that beat these speakers need a breath  Yesuu deni alipay Alilipa extra sai naeza kukopesh- Nikitembea nina tembea na mhesh- Miwa ndo the best remedy ya mapresh- Eeerr God bless Mi nakuombea uwache kupay rent Mi nakuombea uaache tip tukispend Mi nakuombea ukujange kwa God na ma thanks Kwani Ikonini Niko fiti, I walk with the Holy Spirit  sio siri kama noah baraka mbili mbili Moja left moja right you the life wee ndo light uko lit kama box ya kibiriti The glory belong to God mi nacheza shini Skiza mziki wacha kusikiza ibilisi Ministry imenitoa misery ya misri misiwaringii Sai niko fiti Chorus A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice A A amenipa life na B B me niko born again na C C tuko fly kama kite D D dance ka imekunice This is artict


Other Various Artists songs:
all Various Artists songs all songs from 2019