Conboi — Above Average juu ya kiwango

Itro Yo! Yo! It’s Conboi Verse It took me alotta’ time , kutafuta inspiration I’m chillin’ outta town , nikifanya meditation Nikiwaza situations, whats goin’ on right now It’s 4am na watoto they probably sleep by now Back in days when i was young i’m not a kid anymore Sasa hivi nishakuwa bro, i gotta’ be careful Na nishajiwekea goals, na sintoziwekea pause, na hakuna wa kuni’ control , i feel like im gettin’ so close No body knows , but i had to talk , me and god Told me there’s a two types of people, me and ya’ll My thoughts can be so powerful, nionyeshe niki’ flow Ndio maana hizi verses they so dope , just lemme go And show them now , let ‘em know what’s goin down Con’ ni mastermind and i’m so ahead of my time Na hii ni different sound, sio ile ya dick sound Masihara tukiwa nyumbani ila booth ni battle-ground Uta bow down!, wala sifanyagi masihara Ni OGK hatuvutagi masigara Mademu wakali wala hawapakagi maskarah, tuko nao hatuna habari muulizeni mtu imara Na hatu post insta ,hatupendi sifa Usiombe siku we havin’ a party kisha tukakualika Kama unabisha, unaweza kumkuta your sister Akimwaga radhi huku nikimshika, nikimfanya mchicha Yani mboga!, confidently yani bila ya uoga Wazee wakazi huwa hatupendi soga, litakufa jitu ndio ishakuwa slogan, nilisha’ hustle ka’ mwanangu tona, im so official inabidi ulipe kuniona Huh! Ushafikia wakati me na washkaji we got things to prove Maana hata waigizaji ndio waimbaji siku hizi kiki tuu, na hawawezi mziki huu Not a hater but i speak the truth, wanaimba ka’ wana flue ,wakatafute some other things to prove Nani asiyejua wabongo wanapenda kuwa na ego Wanadhani kuwa they know better than most people There’s no equal, on how we be reppin for the people Milele nitabaki juu kama steeple, na hata nikiwa sipo Im the best who ever did it, shit is real biggie Ni wazi nnaonyesha im so greedy Kama ngwear na chidy, 120 kwenye corner speed, sasa mimi ni 360 Huh! Matter of fact niko mstari wa arobaini na moja, watu washabaini kuwa noma , ila wanauliza! “Unangoja nini?, umesanda ama nini?, mbona wenzio wakina salmin na lunya Tunawaona ila wewe kama umeuchuna?, samahani kama itakuuma, ila tunakuona ka’ uko nyuma, na mashabiki si’ tunataka vyuma tuachie uk...” Awwww!! All i can say i ain't even got to say shit ! Muda ndio teacher na mm always i respect it Only by god’s grace ndio i made this far, thus far, for real i need his plus ya’ll True that, we dont try ndio maana tuko so steady Me and my two niggas we like ed,ed and eddy Already tushakuwa ni icons tell the radio to play this Awww! Baby , tunafanya ngumu ila wanapenda them ladies Uuuuh!, now watch my moves sio kingine but the truth, when im in the booth michano inakaa kwenye kila groove, and i already prove it Hii game ya bongo inabidi tuikuze, sisi hapa, dunia ndio ita’ amini fasta Tofauti kati ya mimi hapa na hawa marapa rappers wanaojiita trappers Wao ni knee slappers nasema kwanza wao wana’ repeat after Nimeshaona mengi sijawahi ku skip chapter I learn this game toka joh makini ni rapture Never sell weed coz’ ni weed master, smoke too many unaweza jua ni rasta na ukiniona tozi unaweza jua wakacha Huh! Now watch me do my thang You can tell music on my body i got love for the game Mayne ! It’s been flowin’ in my veins i can’t complain Bado sijapata gari ila hii flow italipia madeni Goddamn! Goddamn, man! Kwa jinsi nilivyo dope wanadhani nimetua na plane Xbox kwenye droo just to show them that i ain’t playin’, na hili dude ni mkosi times ten Mayne! Long Ass verse, long Ass dick too Baby kuwa makini i dont think it’s gonna fit you You know my name hata kujitaja i don’t need too, but them lames still askin’ “who the fuck is this dude?” Huh! Utaisikia tuu hii vocal , mistari kama mia siwezi kuingia ligue ndogo Huh! Nawakanyagia hawataki kusifia mi’ kiboko sana sana utawasikia “hatujalifikia hili soko” Bwana mdogo ambaye nna’ ndoto ya kwenda global, ikiwa tasnia yenyewe ni ndogo ila nnachowapatia ni noble na hii flow ni mogue “Sorry!, ngoja niongee kidogo. Mbona kwenye tuzo za MTV hatumuoni mbongo. Hata wanaokwenda nao hawatoi michongo , ila sa’ mbona wakienda hawaonyeshi usongo?” Please! Don’t make me look kama napitia migongo, ya watu huo ni uongo wala sitaki kuanzisha mlolongo Naomba mungu mambo yangu yaende chini juu Mjomba undugu kwetu sio kushare ubin tuu Kama mwanangu ghafla bin-vuu, show kali ni kali hata bila shabiki aliyeweka simu juu So nawaambia machizi so iko siko tuu itakuwa sikukuu Sky is not the only limit it’s just the area view “How we do?”, Nawaambia do you! That’s the only way way out , fanya mziki put it out , maana huwezi kutambua lini inakuja pay out, ukisubiri hand out hautoweza pan out Nah! Real niggas hawajawahi ku’ bent down, mwananume kaza kalio kabla hawaja ku’ break down . U FEEL ME!


Other Conboi songs:
all Conboi songs all songs from 2018