Conboi — TILL I DIE

Intro Yo !! Its conboi you feel me ! Luffa! Pass me that shit Man! Chorus Ima do this shit till die Kusema tuu ukweli im never gonna stop Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle I ain't gotta worry about motherfuckin non Coz Hata nilipofika i never play Came a long way na ilikuwa worst days So the fuck now tryna tell me Dont you see blood on my feet Verse 1 Young nigga from the street Working 9 days outta week And i never go to sleep alotta shit im never gonna speak Lost my mama tangu niko standard three 2003 Ngumu kuelewa coz ni wazi hata hajakuwa na me Been thru shits toka enzi nilipokuwa Rasheed Smokin this weed to release this pain inside of me Sometimes i wish my mom was here angekuwa proud of me Usiku wa manane niko natafakari Mgongo kwenye bed macho kwenye dali Nawaza mbali nataka nyumba and that fucking rari Ndio maana mjuba Huwezi nikuta kwenye kila party Sio hatari sometimes na wahuni tuki throw a party Ujue ni baada ya kazi kubwa na wala sio zali Celebrate poppin bottle tuki celebrate Lame ass niggas whatchu tryna hate Chorus Ima do this shit till die Kusema tuu ukweli im never gonna stop Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle I ain't gotta worry about motherfuckin non Coz Hata nilipofika i never play Came a long way na ilikuwa worst days So the fuck now tryna tell me Dont you see blood on my feet Verse 2 Deep in my thoughts tryna thinking bout this life Na bongo bila ya mchongo ujue ni tight I wanna make it right thats why i dont sleep at night Hata ikiwa back to back everyday its alright Its alright , kwangu naona poa tuu mazee Siwazi ka nachoka maana bado niko tee Sometimes i hear voices in my head Zingine zikinikiniumiza ilimradi nipotee goddamn Hujiulizi why napenda tuu kusizi To me its like a thrill sio kupenga ningekuwa chizi Vitu vingine niliamua to take easy Streess ikizidi naenda ufukweni to catch a breezy Utani wa nn kwenye kazi za watu Kma kweli unajiamini usiwe muumini wa wafu, ungana na mm ukiamini ka muumini wa mashafu Siku nnikitusua hapatakuwa na nguvu ya watu Jitihada zinakuwa zaidi ya mtoto anae tambaa, Asante mungu nmekuwa ingawa baba alinkataa Siku mtupa nilimjua japo ndugu walishangaa Ebhanae daah! Nasonga na sijakata hata tamaa Chorus Ima do this shit till die Kusema tuu ukweli im never gonna stop Kujiamini ndio ishakuwa lifestyle I ain't gotta worry about motherfuckin non Coz Hata nilipofika i never play Came a long way na ilikuwa worst days So the fuck now tryna tell me Dont you see blood on my feet


Other Conboi songs:
all Conboi songs all songs from 2020