Conboi — Commercial Break

Intro (Gih cue on Another one) Verse Conboi Nishasikia watu wanakufa kwa ajili ya ciggaretes Ila sijasikia cha ukucha kinaweza kuuwa yet Na ukifuatilia utkuta tuu kwenye internet Wanaoshikiliwa ni wanaokutwa wakilipua jet Na nishalipua jet now nigga i need a gas light Siogopi police napuliza kwenye sky aight!? Dont be so uptight nishaanza kuona mna back bite Nobody go to jail for cross in the streets against the lights I guess it’s like amani ipo Tz uki-classify Ila kilasiku tuko busy tryin to passify This fucking life ya bongo unaweza ukawa kichaa Wahuni ndio tuna survive , alotta hommies gone it feels so fucking bad Shit is real nahitaji thrill to chill Crunch time nigga gotta bills for real Vyuma vimekaza ila im never gonna steal Coz mwenyewe nakaza najua kupata ni peace meal Aaargh! Grown man najua sijawahi zingua Naridhika nnachopata cha mtu sitachukua Napambana coz najua naamini kila hatua ni dua Nishagundua unaemuamini ndie anaekuuwa Na ishakuwa desturi sikuhizi mpaka washua nao wanalipua Na sio rahisi kuwagundua maana wanauchubua Lakini wahuni kama man pua ndio wanakisanua popote hata mchana kwenye jua huh! Na unavyojua mtu akishastua Wenge likipanda anaweza kulala hata kwenye mvua Ndio maana wakituona stoners wanahisi tunazingua Mtaani tukipishana wanahisi tutawakwapua huh! Watu wakiamua , wanaweza hata kukuchafua Unaweza hata kumpasua anayejifanya anakujua Atafanya kakunja pua ajifanye kasikia puya Hata kama sio mgonjwa atajifanya anasikia mafua huh! Ma-rastafari huh! Wana-believe Doobie inasaidia huh! Stress relief Na kama inakutesa grief huh! You need a leaf huh Dont sip no alcohol you dont need that shit !! Shiiiit !!


Other Conboi songs:
all Conboi songs all songs from 2020